Saturday, May 14, 2016

Welcome to Greencity secondary school that located at Mporogoro Municipal, it is  sixteen kilometers from Morogoro town towards Dodoma highway. It is a co-education type and it is a boarding as well as day school.

The school has conducive environment for learning.  The school has enough and experience teachers for ordinary and advanced levels.

The  greencity's students as they stand outside their Class.

16 comments:

  1. Wote mnakaribishwa green city because all teacher very strong

    ReplyDelete
  2. Naomba kujua nini kimewasibu vijana wetu 67 waliofungiwa matokeo yao akiwemo kijana wangu Teresphori A. Mbena. 0713237799 Namba yangu ya simu nijulishwe

    ReplyDelete
  3. Hello samahani Nina shida, naweza kupata namba ya mwalimu mkuu wa hapo? Please

    ReplyDelete
  4. Mimi ni mwalimu wa shahada nafundisha physics na chemistry naomba nafasi ya kufundisha hapo ..

    ReplyDelete
  5. Mimi ni mwalimu wa shahada nafundisha physics na chemistry naomba nafasi ya kufundisha hapo ..
    0762754681 namba zangu hizo

    ReplyDelete
  6. Naulizia form za kuhamia kidato cha tano

    ReplyDelete
  7. Nina kijana wangu anaomba kuhamia hapo.naomba mwongozo.namba yangu ni
    0621618924

    ReplyDelete
  8. Naomba matokeo ya kidato cha sta mock 2019

    ReplyDelete
  9. Kazi nzuri, Mungu awatie nguvu walimu, uongozi kwa ujumla, pamoja na wanafunzi ili kupata matokeo yaliyo bora zaidi

    ReplyDelete
  10. Nawaza kupata nafasi ya form five

    ReplyDelete
  11. Ada kwa a level sh ngapi?

    ReplyDelete
  12. nakuja apo shule nzur matokeo mazur

    ReplyDelete